حضرت زهرا س

FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 17
Allah (s.w) alimchagua na kumteua Mtume Muhammad (s.a.w.w) na kumpa kazi ya Utume kabla ya kumchagua kuwa Mtume,na aliteuliwa kuwa Mtume wakati ule ambao viumbe vyote walikuwa hawajui lolote wala kufahamu lolote kuhusiana na mambo ya Ghaibu na walikuwa wa
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 18
Mtume (s.a.w.w) pindi alipotumwa alikuta Umma ukiwa katika hali ya kugawanyika na kutofautiana,hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia masanamu,na hawa wakiwa wamekaa na kukusanyika katika ibada ya kuabudia moto.Masanamu waliyoyachonga
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 19
Mtume (s.a.w.w) baada ya kuufikisha vyema ujumbe wa Mwenyeezi Mungu (s.w) au ile amana aliyopewa na Mwenyeezi Mungu (s.w) kuifikisha kwa waja wake, kilichofuatia ilikuwa ni kuelekea kwa Mola wake Mtukufu ambapo Allah (s.w) aliichukua Roho yake Mtume (s.a.
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 20
Miongoni mwa sifa safi na bora na za kipekee za Qur’an Tukufu ni kwamba Qur’an hii ni Nuru inayomeremeta, na ni Mwanga utoao mwangaza, na ni yenye bayana, hoja, na dalili zilizokuwa wazi.Ni Kitabu kinachofichua siri za batini zisizokuwa dhahiri na kuziwek
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 21
Mwenyeezi Mungu (s.w) ameifanya “IMANI” kuwa ni kitu kitakacho watwaharisha wanaadamu kutokana na shirki ya kumshirikisha.Na akaifanya “SWALA” kuwa ni kitu kitakacho watakasa kutokana na kibri.Kisha akaifanya “ZAKA” kuwa ndio kitu kitakacho zitakasa nafsi
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 22
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu w
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 23
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK. Sehemu ya 23
FADAK YA SAYYIDAT FATIMA (S.A). KUHUSU HOTUBA YA SAYYIDAT FATIMA (S.A) NDANI YA MSIKITI WA MTUME (S.A.W.W) IKIHUSIANA NA KADHIA YA FADAK
Mwenyeezi Mungu (s.w) amekataza kunywa pombe ya aina yoyote ile, kwa lengo moja tu nalo ni ili akuepushieni mambo mabaya,na machafu, mambo ya nafsi,na hilo ni kwa jili ya maslahi ya umma mzima.Na ametutaka tujiepushe na tabia ya kuwatuhumu watu kwa uovu w
Bibi Fatima baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) Sehemu ya tatu
1. Abubakr ajutia 2. Fadak na hatma yake 3. Uhalilahsaji usiofaa na jawabu lake 4. Mas’haf ya Bibi Fatima (a.s) 5. Wasia wa Bibi Fatima (a.s)
Bibi Fatima zahraa (a.s) Sehemu ya saba
Mwana wa Mtume. Mke wa amirulmuuminiin (a.s).
1. Fadhila za Bibi Fatima. 2. Mwanamke wa kuigwa. 3. Mama wa pekee. 4. Mke mwema.